Shajara

by Yethroy Jerome


Books & Reference

free



Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala na watakatifu


Shajara ni mfumo unaokuletea masomo ya misa ya kila siku, sala mbalimbali za kanisa katoliki na historia za watakatifu kiganjani mwako ili uweze kusoma neno la Mungu kila siku na pia kusali kumuomba na kumshukuru Mungu wakati wowote na mahali popote.- Tumebadilisha aikoni za app kwa ujumla- Tumeongeza sala ya Rozari inayojitegemea- Tumeweka mtiririko wa sala za asubuhi- Picha kwenye historia za Maisha ya Watakatifu - Uwezo wa kupokea notification tunapoongeza sala, historia za maisha ya watakatifu na mwangaza wa kila siku.- Tumeweka sehemu ya kuelekeza namna ya kutumia app

Read trusted reviews from application customers

The app is so direct real it's so good and no complications My applause 😊👏

Josephat Mdidi

Nmefulah sana kilakitu kipo

Kelegwa Charles

Nice

Brayson Kimario

Ni sehemu ya visakramenti vilivyowekwa mfumo wa digital. Inasidia kueneza neno jema

James Emanuel

Inasaidia sana

Edwin Bernard

When will it be updated to march the new Misale.they are not similar on readings

Davin muhahala

Nice app.

John Francis

So nice program

Paskali Simon

Useful App

Frank Kapinga

A nice book i love it to read for all time

Kerry Johnson